Lufunyo Driving School ni chuo pekee jijini Tanga kilichosajiliwa na serikali kwa usajili
Namba RTD/A21/TAG/2020/022 kinachotoa mafunzo bora ya udereva wa magari.
Chuo kimeanza kutoa Kozi mpya za Mafunzo ya udereva madaraja ya juu yaani Kozi za Mabasi (PSV C1), Magari makubwa (HGV),
Isitoshe Chuo kinashirikiana na jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani ili kutengeneza madereva makini na wenye ujuzi wa kutosha kwa kufanya Mitihani ya Nadharia na Vitendo baada ya kumaliza mafunzo.
Karibu Lufunyo Driving School upate mafunzo bora kutoka kwa walimu mahiri,waliosajiliwa na Serikali.
| # | AINA YA KOZI | GHARAMA ZA MAFUNZO | MUDA WA MAFUNZO |
|---|---|---|---|
| 1 | UDEREVA WA AWALI WA MAGARI | 270,000/= | WIKI NNE (4) HADI TANO (5) |
| 2 | UDEREVA WA KUJIHAMI (DEFENSIVE DRIVING) NADHARIA NA VITENDO | 200,000/= | WIKI MBILI (2) |
| 3 | MAFUNZO YA UDEREVA WA MAGARI YA ABIRIA MABASI MADOGO (PSV) C1, C2, C3 (UP-GRADE) | 350,000/= | WIKI MOJA |
| 4 | MAFUNZO MAALUM KWA MADEREVA WA MABASI MADOGO (PSV C1, C2, C3) WENYE LESENI WASIO NA VYETI | 300,000/= | WIKI TANO HADI SITA |
| 5 | MAFUNZO KWA MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA (HGV) – DARAJA E (UP-GRADE) | 470,000/= | MUDA WA MAFUNZO |
| 6 | MAFUNZO MAALUM KWA MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA (HGV) WENYE LESENI WASIO NA VYETI DARAJA E | 400,000/= | WIKI TANO |
| 7 | MAFUNZO MAALUM KWA MADEREVA WA MAGARI MADOGO WENYE LESENI WASIO NA VYETI DARAJA A, D | 150,000/= | SIKU TATU |
| 8 | MAFUNZO YA PIKIPIKI (BAJAJ) | 150,000/= | WIKI MBILI |
| 9 | MAFUNZO YA PIKIPIKI (BODA BODA) | 120,000/= | WIKI MBILI |
Mtaa wa Saba Saba Gofu juu C, Tanga, Tanzania
P.O BOX 902, Tanga.
lufunyodrivingschool@gmail.com
0752280222
0713839817
© All Rights Reserved. Designed by ALMAS JULIUS